Sio hao tu mkuu mi kule ndio home. Mwaka 2008 nimeenda pale kujenga sasa nikaenda pale stend ya mboya kwenye zile tipper za mchanga kuelewana nao. Aisee huwez kuamin tumeshindwana na jamaa mmoja wote wakanitolea nje ilibid niande arusha hao jamaa ni kama wapemba hawana haraka. Ya maisha na kibur kingi niliwachukia sana.