Habarini nduguzangu natumaini muuwazima kama ilivyo kawaida ukiwa na fani ya ufundi uandishi nampangilio wa maneno hatu fatilii sana.
Nisiwe na meneno Mengi sana, Mimi ni kijana kutoka chuo cha ufundi arusha technical (ATC) nimeona nivyema nikafungua uzi huu ili kuboresha michongo ya utengenezaji na ubunifu wa vifaa vya kielectronics ambapo napenda tu share idea mbalimbali kuhusiana na maintainance ya vifaa mbalimbali vya umeme pamoja na electronics kama unashida unatuma alafu wadau watakusaidia.
Asanteni sana mnisamehe kwa uandishi wangu kiukubwa tumeelewana
Sent using Jamii Forums mobile app