Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 1,751
- 3,380
Hapa naomba ieleweke ninamaanisha mafundi wa fani zote yani kushona, plumbing, visima, mapambo, umeme, selemara, rangi, ujenzi, bati n.k
Kuna ugumu gani kufanya kazi yako kwa uaminifu bila kuleta janjajanja? yani unapungukiwa nini ukifanya kazi yako kwa uaminifu pasipo kumuibia au kulazimika kumdanganya/kumuongopea boss anayekupa kazi?
Je ni lazima umuibie au kumuongopea boss?
Unajisikiaje ukishindwa kumuibia au kumuongopea boss?
Usipomuibia au kumuongopea boss unapoteza nini?
Maeneo gani maboss wanazingua na kukulazimisha kumuibia au kumdanganya.
NB: Lengo la uzi sio kumdhalilisha au kumtweza yoyote, ila ni sehemu ya wote yani mafundi na maboss kutoka na "kitu" kusaidia kuboresha mahusiano ktk kazi.