Mafundi magali

karandarugo

Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
39
Reaction score
7
Ninaomba msaada wa hili neno maana huwa linajitokeza kwenye dash board ya gari yangu kila mara lakini nikizima gari hilo neno hupotea je tatzo linakuwa wapi.(Visibility system malfunction)
 
Magali=Magari

Msaad wangu mimi ni huo
 
Gari gani? Mwaka? Picha ya ilo neno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…