Mustapha Ryder
Member
- Dec 19, 2013
- 76
- 12
Kama wewe ni fundi computer au laptop upande wa hardwares au softwares basi tukutane hapa tupeane changamoto na ujuzi wa kazi yetu.
model???mi sio fund lakn nataka kujua nikitaka kubadli key brd ya laptop acer ntabadilishiwa kwa bei gan
lakn hii ni kwa mafund wa dar 2 ?