Mafundi bora was Ujenzi wa nyumba Dodoma

Mafundi bora was Ujenzi wa nyumba Dodoma

leyb

Senior Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
111
Reaction score
64
Je unahitaji mafundi bora na waaminifu katika kujenga nyumba yako kwa bei nafuu? Nzuguni Builders Group tunatoa huduma ya kukujengea nyumba, kufanya finishing zote, kukukadiria gharama za ujenzi kuanzia msingi mpaka hatua ya kupaua. Tunajenga popote pale ndani ya mkoa wa Dodoma.
Kwa mawasiliano yetu.
0764991788, 0769418120, 0756415808.
 
Imeturia sana hii wakuu,fungueni tovuti,itakuwa poa sana
 
Nalipia wapi mkuu? Tunahitaji kukujengea nyumba yako kwa bei nzuri kabisa. Njoo tuongee

Mafundi mlivyo! hapa unaongea vizuriiii, kistaarabuuuu. Sasa ngoja kazi ianze! Mafundi wa dodoma sina hamu nao.
 
Mkuu sio mafundi wote wababaishaji tupo wengine waaminifu na washauri wanzuri kwa wateja wetu. Usisite kutuona ukiwa na kazi yako tutakufanyia kwa uaminifu wote.
 
Mkuu! Nyumba yenye ukubwa wa mita 180 makadirio yake gharama yaweza kufika ngapi pamoja na ufundi?

Ya Vyumba vitatu;
  • Master bedroom yenye ukubwa wa mita 6 + toilet
  • Vyumba viwili vyenye ukubwa wa mita 5 + toilets
  • Varanda yenye ukubwa wa mita 7 + public toilet
  • Family hall yenye ukubwa wa mita 9
  • Jiko lenye ukubwa wa mita 5 na store yake ndogo
  • Bati za zenye mgongo mpana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom