Mafundi bomba wanapatikana.

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,523
Reaction score
14,002
Habari zenu wote?

Mafundi bomba(plumbers) wanapatikana ni mafundi wenye elimu na uzoefu wa kutosha kwenye fani hiyo.

Endapo unahitaji kufanyiwa michoro na kuwekewa mfumo wa maji kwenye nyumba yako au marekebisho ya mfumo wa maji safi au taka,tafadhali tuwasiliane 0752489529.
Gharama zetu ni nafuu sana na tunatoa ushauri wa kitaalamu bure.

Mafundi wanapatikana Arusha mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…