mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,162
- 794
Mlalo ni mji mkongwe sana. Nakumbuka Marehemu Nyerere Alipita hapo miaka hiyoo.
Mbunge Mh Brigedia flan hivi alishndwa kuwa kama Mh. Shekilango Mungu arlmrehemu.
Barbara ile imeua sana. vilema mpaka Leo wapo.
Rashdi shangaz ni kijana imara. Magufuli lazma ushirikiane na kijana huyu mdogo mtumbue majipu.
mlalo iwe kama au zaidi ya chato.
Miradi mingi inahitajika mlalo. Pamoja na baranara, mlalo Ina bonde muhm LA kilimo, viwanda vya ama cement vianzishwe.
Naomba kutoa hoja.