C change we need Member Joined Aug 10, 2011 Posts 81 Reaction score 9 Feb 6, 2012 #1 Kama viongozi wetu wako serious na mafsadi wasingeuma maneno..wangetaja bayana mafsadi ni hawa na msiwapigie kura. sio kusema ooh mafsadi mara hivi mara hivi..danganya toto hiyo, hakuna nia thabiti ya kuondoa mafsadi katika serikali au chama.
Kama viongozi wetu wako serious na mafsadi wasingeuma maneno..wangetaja bayana mafsadi ni hawa na msiwapigie kura. sio kusema ooh mafsadi mara hivi mara hivi..danganya toto hiyo, hakuna nia thabiti ya kuondoa mafsadi katika serikali au chama.
Kalolo Junior Member Joined Oct 20, 2011 Posts 81 Reaction score 27 Feb 6, 2012 #3 mtu anasema Mafisadi harafu usiku wanapigiana simu wanasema umeona tulivyo wachuuza?. hii bongo imekufa, naye katibu mkuu anatoa kasauti, unajua mie nilikuwepo pale mkutanoni nikawa nawacheka tu.:eyebrows:
mtu anasema Mafisadi harafu usiku wanapigiana simu wanasema umeona tulivyo wachuuza?. hii bongo imekufa, naye katibu mkuu anatoa kasauti, unajua mie nilikuwepo pale mkutanoni nikawa nawacheka tu.:eyebrows: