Friji ni compresa na compresa nyingi tunazotumia ni mitumba zimetoka nchi za baridi (2)umeme wetu haueleki mara volt 240 mara 180 hapo lazima ife (3)matumizi atujui friji inawashwa kama tv au radio aitakiwi kabisa ..kama unatafuta kompresa nunua DANFOS ya german hii pekee ndo yenye huakiki pia inahimiri joto .usisahau kizibiti umeme ni muhimu sana. Kizibiti umeme kisiwe cha kichina. Friji iwekwe kwenye hewa safi .kama nyumba ni ndogo weka ft moja toka ukutani. pia akikisha themostati yake inafanya kazi vizuri. Bahazi ya gesi zinazowekwa kwenye friji zinachangia kuhua compresa .fundi wako awe mjanja kubaini gesi nzuri na ya mchina
Ok aksante na ni gesi gani hiyo inatumika kwenye friji ?
Uwe makini sana na vitu used. Vingi havijatengenezwa kutumia katika mazingira yetu ya Africa na pia mengi yanatumia umeme mwingi sana ukilinganisha na hizi mpya ambazo zimetengenezwa kwa soko la Africa. Nimewahi kuwa na fridge ya mtumba miaka ya nyuma ilikuwa inakula sana umemeHatuwezi kuishi wote "masaki".Hata hivyo inaweza kuwa mpya bado ikapata matatizo zaidi hata used
Friji jipya la mwaka 2011 liliotengenzwa kwa stability na viwango vya umeme wa japan linaweza kuchemsha Tanzania kuliko Friji used la japan la mwaka 2008.....
So sidhani kama ni definite foumula kuwa every used ni scrapper. ........
Umejiuliza pia kwa nini Zinatumia Units nyingi za Umeme,kiasi kwamba imekuwa ni sehemu ya mtanzania kuzima friji usiku kucha kupunguza matumizi ya umeme??Hii ni baadhi michoro inayoeleza ufanyaji kazi wa friji.
Haya wenye utaalam na mambo ya coooling system tupeni shule huku tukitafuta maelezo mengine.
Kwa nini kitu kinatwa compressor kinaharibika mara wa mara kwenye mafriji yetu ya" mitumba". Maana sometime unaweza kuhisi fundi msanii
Nini kifnyike mafriji yasiharibike haribike hizo compressor au yapoze vizuri?