Mafisadi waombewe dua maalum ya kuwalaani wao na familia zao

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,902
51,995
Mafisadi wameumiza sana tena sana walipa kodi maskini wa nchi hii.Napendekeza dini zote ziitishe dua maalum ya kumwomba Mungu awalaani mafisadi na familia zao wapate nuksi mikosi na magonjwa yasiyotibika yatakayowasumbua usiku na mchana maisha yao yote kwa ufisadi waliowafanyia watanzania kupitia mikataba ya kifisadi,kitapeli na kidhalimu na dhuluma kwa maskini.

Humu ndani kama kuna ajuaye kusoma itikafu au alubadiri aanze sasa hivi kuwasomea.Na kama yuko ajuaye kulaani aanze sasa hivi kuwalaani hao watu na familia zao.Kama yuko ajuaye kuloga atumie ujuzi wake kuwaloga barabara.
 
Back
Top Bottom