Duble Chris
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 3,481
- 564
Kwa hali iliyopo nadhani Arusha kwenye uchaguzi wa madiwani hawataruhusiwa kukanyaga kama walivyo pigwa stop Igungasitta na nape lazima wavue gamba
yaah, hakuna jipya ktk hili ila tunajaribu kuwakumbusha ahadi zao kama chama tawala ukichukulia maanani kuwa kikao ndiyo kipo mlangoni ili basi wakumbuke UZITO wa kauli walizo zitoa ili wazitekeleze kwa vitendo otherwise they are perishedHakuna jipya
Hivi bado kuna wahitimu wa vyuo vikuu bado ni wana CCM?
wapo wengi sanaHivi bado kuna wahitimu wa vyuo vikuu bado ni wana CCM?
usihof mkuu zitabakia kofia,vilemba kanga na tshirtNa wale waliopewa makanga, kofia fulana vikofia na ubwabwa je? Halafu walipewa na nani? Nyie mna mpango mzima wa kuua CCM ili mkimbilie CCJ. Tutapata wapi pilau mkiwafukuza mafisadi?