Habari
Naomba kuuliza..hivi mafao ya LAPF yanatolewa kwa waliokua wanachama wake baada ya kuacha kazi...kuna dogo langu limefanya kazi kwa mkataba wa miaka 2 na mradi fulani...sasa michango ilikua inapelekwa LAPF..swali ni je atapewa mafao yake baada ya kumaliza mkataba...au ndo mpake azeeke na kufika umri wa kustaafu