Mafanikio ya simba sc kwa msimu huu

Angalia namba hizo ...alafu jilinganishe na mliowacheka😂😂 👇👇

 
Na hizi namba ni mafanikio yenu ya msimu huu ulioisha wa 24/25?
Sio hizo namba tu, na namba za idadi ya magoli mliyotufunga kutoka 7 kwa mechi 2 msimu uliopita hadi magoli 4 tu tena kwa mechezo 3 kwa msimu huu ulioisha.
Hii ni tremendous improvement.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…