WaituWaitu
Member
- Aug 15, 2012
- 41
- 1
Hi, wanajamii nina furaha kubwa kutokana na mafanikio makubwa niliyoyapata tangu nianze masomo hapa chuo kikuu cha dodoma. Ukweli nilipewa wazo na mwenzangu ambaye anachukua masomo yake UDSM na nikayafanyia kazi na hatimaye kupata mafanikio ya muda mfupi na hivi ninavyoongea nina uwezo wa kuingiza zaidi ya £190 kwa mwezi ambacho ni kiasi kinachonifanya nisitegee boom kutoka serikali huku nikiamini kuwa kufikia mwisho wa masomo yangu hapa UDOM nitakuwa pesa yote ya boom >7000,000 tsh. hivyo kunifanya niweze kukaa kitaa bila wasiwasi na hayo ni makadirio ya chini kwa sababu sitegemei kupata hasara kwenye hii issue. Lengo langu ni kukufanya wewe kijana mwenzangu kuungana na mimi ili tuweze kujikwamua katika umaskini, hivyo kama unahitaji mafanikio kama yangu nipigie kupia 0765778664 au email, cethdominick@gmail.com NB nahitaji watu wenye malengo na wenye nia ya kufanikiwa ambao si wa kutegemea ajira tu kutoka. Pamoja tunaweza
Yaleyale mambo ya Forever living, GNLD kama sio kweli funguka.Ndo wanavyoanzaga hawa.Pale UDOM haparuhusu mwanafunzi kufanya biashara hata ya kuuza vocha sasa wewe unataka kutuambia unatumia mbinu gani.JIPANGE TENA UJE UMEELEWEKA LA SIVYO USIRUDI.
Hahhaahah huyo ni mdada so kwake haina tabu.Endeleeni tu kutapeli watu ila mkija kulawitiwa msichukie sawa eeh..
Endeleeni tu kutapeli watu ila mkija kulawitiwa msichukie sawa eeh..
Endeleeni tu kutapeli watu ila mkija kulawitiwa msichukie sawa eeh..
[h=2][/h]Mimi mwanafunzi wa mwaka wa kwanza Chuo Kikuu cha Dodoma na tangu nianze masomo nilikuwa nawaza namna ya kuwasaidia vijana ambao hawakufanikiwa kuendea mbele na ambao hawajui wafanye wafanye nini ili waweze kutoka kimaisha na niliweza kupata jinsi gani ya kuwasaidia, hivyo kama wewe ni mmoja kati watu ambao hawana dira sasa ni mda wa kufanikiwa nipigie kiungwana kabisa kupitia 0765778664 nitakusaidia na kama una ndugu, rafiki au jirani mwenye hali kama hiyo mpe taarifa apate kuwasiliana na mimi haraka iwezekanavyo, pia unaweza kuwasiliana nami kupitia email adress, cethdominick@gmail.com
Endelea kupost ngojera na mafumbo au weka wazi unaficha nini?
Mamluki utawajua tu...Hivi hii post hapa ni mahali pake?