Maeneo yanayouza kitimoto mjini ni wapi?

Denis5

Member
Joined
Jun 23, 2009
Posts
27
Reaction score
9
Mbona sijaona sehemu wanapouza kitimoto kati ya Posta na kariakoo
 
haya ni maeneo ya kistaarabu hayawezi kufanya hivyo
 
Makaburi ya kisutu karibia na zanaki maeneo yale kulikuwa kunauzwa sijui km bado ipo wazi.
 
Yeah, Makaburi ya Kisutu karibu na ofisi ya Mtendaji wa Kata (nadhani Kata ya Upanga) kuna mdudu anakaangwa pale, tena moshi wake unafika hadi kwenye makaburi ya waisilamu
Huu ni uchokozi sio na kifani acha hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…