Maeneo ya wazi

karama kaila

Senior Member
Jan 30, 2015
122
60
Najaribu kutafuta nakala zingine za mkataba huu ili nipate cha kujifunza.

Uvamizi na uuzwaji wa maeneo ya wazi Kinondoni limekuwa ni jambo la kawaida.

Ni muhimu sasa kujenga heshima na nidhamu ya Matumizi ya maeneo yetu ya wazi.
 
Back
Top Bottom