Maeneo hatari morogoro

Maeneo hatari morogoro

sweet poison

Senior Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
104
Reaction score
15
habari wandugu!! nimeona leo nioneshe maeneo ambayo yamekuwa ni kichaka cha machangudoa hapa mkoani moro.1.cocobeach kati kati ya mji,2.karibu na stend ya mkoa,yawezekana kuna maeneo mengine hatari zaidi naomba tujuzane ili mamlaka husika zichukue hatua.NB;Jadili mada usijadili mtu.
 
maeneo ya kaumba..nafkiri ndipo palipo na huo mgahawa wa coco beach!! Sehemu nyngne ni makuti bar...karibu na stend kuu
 
mbona kichwa na kiwiliwili haviendani?! mi nimekuja nduki ili niyajue maeneo hatari harafu wewe unaishia kututajia maeneo yenye vivutio vya utalii wa ndani!!!!!?, mleta mada atakuwa alijilengesha kwa dada poa mwisho wa mwezi wakakomba salio lote...... usituletee uzembe wako humu JF the home of GT
 
habari wandugu!! nimeona leo nioneshe maeneo ambayo yamekuwa ni kichaka cha machangudoa hapa mkoani moro.1.cocobeach kati kati ya mji,2.karibu na stend ya mkoa,yawezekana kuna maeneo mengine hatari zaidi naomba tujuzane ili mamlaka husika zichukue hatua.NB;Jadili mada usijadili mtu.

Hatari kivp? Wanakaba watu au wanapiga? Huduma unataka tupate wapi?
 
uwanja wa jamhuru mbele ya central police kuna vibaka na machangudo nenda pale sasa.
 
habari wandugu!! nimeona leo nioneshe maeneo ambayo yamekuwa ni kichaka cha machangudoa hapa mkoani moro.1.cocobeach kati kati ya mji,2.karibu na stend ya mkoa,yawezekana kuna maeneo mengine hatari zaidi naomba tujuzane ili mamlaka husika zichukue hatua.NB;Jadili mada usijadili mtu.

eti eti morogoro kuna sehemu inaitwa kwa wahaya?
 
Back
Top Bottom