Ni kipi haswa chanzo cha Maendeleo duni ktk nchi za ulimwengu wa tatu{3}?.A)Mfumo wa uongozi & viongozi,B)Wananchi wa nchi husika.Chagua jibu moja wapo utoe ufafanuzi wako
Kweli bwashee we mpenda maendeleo, muda huo ulioweka bandiko tosha kufahamu hilo. Kama upo nje, ukituma vidola vitaleta maendeleo huku nyumbani, au fanya kampango upate kopi ya mipango ya maendeleo tuje tu paste bongo.