Maendeleo Zambia yaanza kuonekana

He is one of rare species to be found in this part of the World.........

Wish you healthy life uweze kuijenga Zambia, hata kama sio part ya Tanzania lakini ni Wa-africa wenzangu na binadamu kama mimi, they deserve hope from their gov
.
 

Mkuu ili maendeleo yawe na maana ni lazima yawe 'sustainable otherwise wait and see', gooduck to them!
 
Mbona hz kama vile ni sera za Chadema? ina maana CHM goes International?
 
Piga hesabu Kwacha 1=0.22 ya kitanzania
wewe ni taahira....unajua sukari kilo moja inauzwa tsh ngapi? na hapa tz inauzwaje? unajua tuna rasilimali kiasi gani? mwehu we
 

Hata kukiwa na maendeleo ya aina gani.. wadanganyika tutayaona kama Movie za Kanumba hadi siku mchawi aliyetuloga atakaporudi!
 
Mkuu Kwacha moja ni sawa na US dollar ngapi au sawa Tsh ngapi,Hivi niandikapo bei ya mafuta imepanda tena hapa Dar diesel litre moja ni Tsh 2010

Mkuu 1k=0.29Tsh ina maana kuwa 1lt inauzwa kwa TSH 164. KUIUKWELI PEAS YAO INA THAMANI SANA
 
2,000,000 Kwacha is $402.00 US huu ndio mshahara wa wana Migodi Zambia. I don't know how much watanzania wanapata.

That means One (1) USD = 4975.04 Zambia Kwacha
 
Hizo ndizo faida za kujitawala sisi wenyewe ndio tuliotaka kujitawala sasa tunacholalamika kitu gani?
 
Mbona wanapata mishahara midogo namna hiyo?yaani dola $ 402.00 tu?
Tanzania kima cha chini wanapata ngapi? Kwa peas ya madafu $402.00 ni sawa na Tshs. 643,400, je kima cha chini Tanzania wanapata kiasi hicho?
Sisi tulie tu na kubaki kukodolea mimacho wenzetu.
 
Hapo ni kumuombea Mungu,maana genge la mafia nalo linamtamani kwasababu ya msimamo wake,mara nyingi mabepari wanataka viongozi legelege na wasio na msimamo kwa kulinda maslahi ya wanyonge..Lakini mara zote Mungu yu pamoja nao wawateteao wanyonge....
 
isitoshe mafuta yanapita kwenye bandali ya Dar na kuelekea Zambia...

Halafu ukiwauliza viongozi wetu watakwambia mafuta yapo juu kwenye soko la dunia,aikai akilini kuniambia kuwa Zambia inayopitisha mafuta hapa kwetu washushe bei hivyo halafu sisi tubakie na mabei yetu haya ya sasa...viongozi wetu wakiri kuwa tatizo ni kushuka kwa thamani ya shilingi ndilo tatizo la msingi,ishu sio bei ya mafuta kwenye soko la dunia..kama Zambia wameweza kushusha bei hivyo kwanini isiwe sisi? au Zambia wananunua kwenye soko lingine sio tunalonunua sisi? kushuka kwa shilingi yetu ni janga kubwa sana na litatuumiza sana watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…