Habarini wakuu. Hivi viwanda vinavyotakiwa kujengwa taratibu za viwanda hivyo kwa sehemu husika. Zinafuatiliwa na kiongozi gani ? No mkuu wa mkoa, au mkuu wa wilaya katika kuwaleta wawekezaji. Kwani mkoa wa Kilimanjaro. Wilaya ya rombo hatuna kiwanda hata kimoja.Rai yangu basi japo waziri wa Viwanda , na Waziri wa Tamisemi mtufikirie kwa hilo ajira zitakuwepo na vijana wengi wataacha unywaji wa pombe kiholela .