Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 264
Kuna mgomo wa madaktari.....Shukrani kwa taarifa, lakini hilo tatizo dogo lilishindakana kutibiwa hapa nyumbani mpaka aende huko Ujerumani?
Ujerumani ndio Muhi2 yake mkuu...........................Aaseeee!!!!!!!' alikuwa haiwezekani kutibiwa/kuchekiwa muhimbili?!?
Vipi hali ya Rostam na Chege...binafsi hawa siwezi kuwaombea eti wapone badala yake wafe maana wamesababisha watanzania wengi kupoteza maisha kwa ufisadi wao...mafisadi, wanafiki wote kufeni tena haraka sana...Wakuu, asanteni kumuombea Mh. Edward Lowassa. Ni kweli amelazwa hapa Ujerumani na hali yake inaendelea kuwa nzuri. Mh. alipatwa na shinikizo dogo (Ischemic Stroke) linalotokana na kazi nyingi mfululizo bila kupumzika, ila madaktari wamempa clean bill of health na kwa sasa anapumzika kitandani. Baada ya siku chache Mh. atarudi kuendelea na shuguli za ujenzi wa taifa. Muombeeni mpiganaji wetu. Asanteni
Mapambano ya kuwaibia watanzania....Tunamuombea apone upesi aje kuendeleza mapambano
Wakuu, asanteni kumuombea Mh. Edward Lowassa. Ni kweli amelazwa hapa Ujerumani na hali yake inaendelea kuwa nzuri. Mh. alipatwa na shinikizo dogo ([FONT=Arial,Helvetica]Ischemic Stroke[/FONT]) linalotokana na kazi nyingi mfululizo bila kupumzika, ila madaktari wamempa clean bill of health na kwa sasa anapumzika kitandani. Baada ya siku chache Mh. atarudi kuendelea na shuguli za ujenzi wa taifa. Muombeeni mpiganaji wetu. Asanteni
Wakuu, asanteni kumuombea Mh. Edward Lowassa. Ni kweli amelazwa hapa Ujerumani na hali yake inaendelea kuwa nzuri. Mh. alipatwa na shinikizo dogo (Ischemic Stroke) linalotokana na kazi nyingi mfululizo bila kupumzika, ila madaktari wamempa clean bill of health na kwa sasa anapumzika kitandani. Baada ya siku chache Mh. atarudi kuendelea na shuguli za ujenzi wa taifa. Muombeeni mpiganaji wetu. Asanteni
Tunamuombea apone upesi aje kuendeleza mapambano
Mkuu nimetafuta kitufe cha Like sijakiona...Kwa kweli mimi sijamwombea na nadhani hayo ndiyo malipo ya unyonyaji aliyotufanyia wakati akiwa pm kabla hajajiuzulu na mpaka sasa
Shukrani kwa taarifa, lakini hilo tatizo dogo lilishindakana kutibiwa hapa nyumbani mpaka aende huko Ujerumani?