Maembe yanauzwa.

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,626
Mzigo upo shambani Kabuku. Yapo maembe kama 10,000 hivi. Embe 1 linauzwa 400 Tsh.

Mawasiliano: +255718335855

Karibu tufanye biashara.
 
Utaratibu wa kununua maembe upoje pale.

Mi nadhani kama ungepata mtu wa karibu ataweza kukupa full details ama laa ni vyema ukaenda kuuliza ukapewa utaratibu.

Hela hiyo mkuu changamkia fursa kiongozi. Au kama yupo mtu Dar muagize akakuulizie, that's all.
 
Mzigo upo shambani Kabuku. Yapo maembe kama 10,000 hivi. Embe 1 linauzwa 400 Tsh.

Mawasiliano: +255718335855

Karibu tufanye biashara.
nilikuwa handeni juzi kuna vitu tulifata kabuku kuna shamba kubwa kweli la maembe ndo upo hapo mkuu?
 
Mi nadhani kama ungepata mtu wa karibu ataweza kukupa full details ama laa ni vyema ukaenda kuuliza ukapewa utaratibu.

Hela hiyo mkuu changamkia fursa kiongozi. Au kama yupo mtu Dar muagize akakuulizie, that's all.
Haina noma mkuu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…