Hiyo transfer ya college moja kwenda nyingine huwa inasumbua hasa kwenye kuhamisha mkopo maana ada ya nursing ni kubwa kuliko ya education utasota mwaka mzima kubadilisha mkopo kuuweka sawa...tena itanidi ufuatilie mwenyewe makao makuu ya bodi ya mkopo...lakini pia hiyo transfer itategemea kama kutakuwa na nafas huko unapoenda na unaweza kulipa direct cost mara mbili pia so ujipange kijana maana direct cost ya afya na coed ni tofauti