Mkuu wa mkoa wa dar es salaam amezifutita kampuni za udalali zinazokamata magari yaliyoegeshwa sehemu zisizostahili kutokana na manyanyaso na faini kubwa wanazotoza.badala yake utapangwa utaratibu mwingine ambapo kazi hiyo itafanywa na suma jkt.chanzo taarifa ya habari ya channel ten
Kuna jamaa yangu anaendesha Lori ss likaharibikia njiani barabarani jamaa wakaja wakata kumpiga fine kwanini gari la Transit limeegesha barabaran,,,jamaa akawaambia lina Tani30 sasa nilibebe kichwani?