Maduro na AFCON 2025. Masomo Mawili Muhimu Kuhusu HAKI

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
40,947
Reaction score
74,429
Tumekuwa tukipigiwa kelele sana na watawala wa CCM na vibaraka na machawa wao kuwa HAKI sio priority namba moja dhidi ya AMANI (yaani ukondoo).

Lakini Mungu January hii ameamua kutufumbua kwa kuruhusu uchungu, kuondolewa kwa nguvu madarakani kwa mpinga HAKI za kiraia Rais Maduro ili apelekwe mahakamani na Kunyimwa HAKI kwa wapenzi wa soka wa Tanzania dhidi ya Morocco.

Kwa Tanzania waliokuwa wanaona Amani (ukondoo) ni jambo la muhimu na sio HAKI kwanza wajifunza mengi.

Kwa yaliyotokea hapa kwetu, hakuna maridhiano yatafaa bila HAKI kwanza kutekelezwa.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…