Rama ngwea New Member Joined Aug 9, 2020 Posts 2 Reaction score 1 Aug 10, 2020 #1 Jaman nlikua naomba mnijuze bei ya madumu meupe ya lita thelathini na yanapatikana wapi
Sivan JF-Expert Member Joined Jul 17, 2020 Posts 923 Reaction score 1,232 Aug 10, 2020 #2 Lita 30 ?? Yapoje.
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,402 Reaction score 12,787 Aug 10, 2020 #3 Hukimbizwi tulie eleza uko mkoa gani, unataka madumu ya muundo gani,ujazo upi kwa matumizi yapi kisha usubiri majibu maana kwa swali hili linaloelea angani upatikanaji wa madumu yenyewe yapo mataifa mbali mbali.
Hukimbizwi tulie eleza uko mkoa gani, unataka madumu ya muundo gani,ujazo upi kwa matumizi yapi kisha usubiri majibu maana kwa swali hili linaloelea angani upatikanaji wa madumu yenyewe yapo mataifa mbali mbali.