13- IQ ishawarejea sio kama zamani
hahahahaaa! ng'wangaluka mayo !!!Mmmh, hizi promo za kisukuma sasa zimezidi.
Hizi kampeni za wasukuma jamani......sijui niwekee uzoefu wangu juu ya hao.
Na wengi wao wana MIKONO YA SWETA which is not hygenic!
Hazikutoshi wewe.
kwa wanawake wote ambao mna ndoto ya kuwa na famila bora zingatieni hili. wasukuma wamejaaliwa
1-warefu
2-maumbo makubwa
3-mvuto
4-wakarimu
5-wapore
6-wametulia
7-wanajua kupenda
8-wachapakazi
9-sio wagomvi kama wakurya
10-hawana tamaa kama wachaga
11-hawajazubaa kama waha
12-na vyombo wanavyo!
13- IQ ishawarejea sio kama zamani
unasubiri nini sasa we mwanamama unayehitaji kuwa miongoni mwa watu wenye uzao bora?
nicheki kwenye facebook kwa id ya jitindejangongwa kwa msaada zaidi
hahahahaaa! ng'wangaluka mayo !!!
umesahau sifa yao nyingine, UCHAWI ndio nyumbani kwake,kwa wanawake wote ambao mna ndoto ya kuwa na famila bora zingatieni hili. wasukuma wamejaaliwa
1-warefu
2-maumbo makubwa
3-mvuto
4-wakarimu
5-wapore
6-wametulia
7-wanajua kupenda
8-wachapakazi
9-sio wagomvi kama wakurya
10-hawana tamaa kama wachaga
11-hawajazubaa kama waha
12-na vyombo wanavyo!
13- IQ ishawarejea sio kama zamani
unasubiri nini sasa we mwanamama unayehitaji kuwa miongoni mwa watu wenye uzao bora?
nicheki kwenye facebook kwa id ya jitindejangongwa kwa msaada zaidi
Mmmh, hizi promo za kisukuma sasa zimezidi.
hivi mikono ya sweta ndio nini em nieleweshe kidgo!
domo la bata.
ng'wadila bhabha!!!!!!! Hizo sifa hapo juu unazo nianze kukata kucha kwa vidole mie?
Vipi tena Miss Strong kwani yule Lecturer wako alikuwa Msukuma??