Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Omba yasikukutedawa ya moto ni moto tu saaf wakongo
Jicho kwa jicho wamezidi kuwadharau na kuwadhulumu waafrika.
Kituo cha idara ya uchunguzi mjini Bangalore India
Umati wa watu Alhamisi umeshambulia biashara na magari ya wafanyabiasha raia wa India katika mji mkuu wa Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo, Kinshasa, polisi wamesema.
Ghasia hizo zinaonekana kuwa sehemu ya mzozo unaoendelea kutokana na kifo cha mwanafunzi raia wa Congo, aliyefariki katika rumande ya polisi nchini India wiki iliyopita.
Biashara kadhaa za raia wa India ziliporwa mjini Kinshasa wiki iliyopita, kufuatia kifo cha Joel Malu, mwanafunzi katika mji wa India wa Bangalore.
“Watu wasiokuwa na ustaarabu, haswa vijana, wamekuwa wakipora maduka na maghala yanayomilikiwa na raia wa India,”mkuu wa polisi mjini Kinshasa, Sylvano Kasongo amesema.
Polisi waliamata watu watatu na kupata marobota 40 ya nguo zilizoibwa, Kasongo ameongeza.Malu alikamatwa huko Bangalore tarehe 1 Agosti, kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya.
Polisi wa India walisema alilalamika kwamba ana maumivu ya kifua na alipelekwa hospitali, ambapo alifariki baadaye. Kifo chake kilizusha mapigano kati ya waandamanaji na maafisa wa polisi wa Bangalore siku iliyofuata.
kwamba aombe siku moja asijekuwa mhindi?Omba yasikukute
Ni mpaka kutokee sababu itayogusa mioyo ya watu wengi itayotufanya tufidie machungu ya uonevu wao.Bado bongo apa tuwafinyeee maana wanatuzarau sana
SahihiMUNGU tujalie amani,uvumilivu, mshikamano na utulivu ndani ya nchi yangu maana hali si nzuri.
Machafuko yasikie kwa jirani tu
Bado bongo apa tuwafinyeee maana wanatuzarau sana
Asije pata janga la kupoteza mali zake kwa jangakwamba aombe siku moja asijekuwa mhindi?
It's only language these indians racist understand,uliona huo kijana alivyoshambuliwa na polisi zaidi ya kumi kwa marungu mpaka akafa?Akili zetu ndo hizi
Omba yasikukute
Wakongo wanapenda sana nguo.