Maduka ya TV ya bei poa yapo wapi?

Maduka ya TV ya bei poa yapo wapi?

Adjussi

Member
Joined
May 25, 2014
Posts
39
Reaction score
15
Habari zenu Wakuu, kwa anaefahamu wapi naweza kupata flat screen TV ya inch 40 kwa bei nafuu Dar. LG na nyinginezo lakini si Samsung.
 
Kariakoo mtaa wa Msimbazi utapata, kuna maduka mengi yanauza copy unazohitaji
 
Back
Top Bottom