Skillseeker JF-Expert Member Joined Jan 30, 2012 Posts 225 Reaction score 34 Aug 5, 2014 #1 Habari wanaJF, Natafuta camera yenye at least 30x optical zoom na 20mp. Iwe na rechargable battery. Ni maduka gani kwa dar es salaam ambayo yanabei nzuri na camera nyingi ili iwe rahisi kuchagua?
Habari wanaJF, Natafuta camera yenye at least 30x optical zoom na 20mp. Iwe na rechargable battery. Ni maduka gani kwa dar es salaam ambayo yanabei nzuri na camera nyingi ili iwe rahisi kuchagua?
Fadhili Paulo JF-Expert Member Joined Sep 1, 2011 Posts 3,211 Reaction score 996 Aug 5, 2014 #2 Maduka yapo kariakoo au posta mpya. Tembelea hiyo mitaa miwili.
Mgongo wa paka JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 485 Reaction score 36 Aug 5, 2014 #3 na jaribu pi morogoro road na libya pia utapata
Williedm JF-Expert Member Joined Nov 30, 2011 Posts 505 Reaction score 139 Aug 6, 2014 #4 njoo hapa karikoo fire ...tupo karbia nch nzma
mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 12,169 Reaction score 8,941 Aug 10, 2014 #5 Pia Mlimani City,kuna Game,mengine yapo karibu na Nakumatt hapo hapo ndani Mlimani City shopping Mall
Pia Mlimani City,kuna Game,mengine yapo karibu na Nakumatt hapo hapo ndani Mlimani City shopping Mall