M mari3mar Senior Member Joined Oct 26, 2013 Posts 185 Reaction score 77 Dec 28, 2013 #1 Habari wapendwa! Polen na pirika za hapa na pale. Napenda kujulishwa ni sehem gan ambayo maalum wanauza vyombo vya luminac ambao ni mawakala. Au km kuna contact plz nijulishwe
Habari wapendwa! Polen na pirika za hapa na pale. Napenda kujulishwa ni sehem gan ambayo maalum wanauza vyombo vya luminac ambao ni mawakala. Au km kuna contact plz nijulishwe
M mpachi New Member Joined Feb 16, 2014 Posts 2 Reaction score 1 May 6, 2014 #2 Nenda east Africa mart ware,chang'ombe mbozi road au mitaa ya msikiti wa ibadh kuna maduka ya wahindi utapata
Nenda east Africa mart ware,chang'ombe mbozi road au mitaa ya msikiti wa ibadh kuna maduka ya wahindi utapata