Madudu Mengine Elimu

hapa kwenye elimu panahitaji maboresho makubwa kwa hawa wizara kujitazama upya!!!!

au ndo mazao ya waliofeli kukimbilia ualimu na hivyo kuishia wizarani na badae matokeo yake wizara yote inakuwa uozo?!

Nawaonea huruma wanangu huko mashuleni!!!!

moderator fanya mjadala maalumu wadau wachangie jinsi ya kuboresha hii wizara ili itupe ufanisi tunao utaka-na ujumbe uwapelekee hao bwana wakubwaa(wateuzi wa hawa watu).

so painfully...
 
Mambo mengine yanayoendelea kwenye hii nchi yanatia kichefu chefu!

Mtu unajiuliza viongozi na wataalamu wote wa wizara wapo pale kwa faida gani?! Hupati jibu!

10% mkuu! Si kwamba hawayajui haya. Hizi ndo nguvu za kifisadi ambazo akina Mzee Mwanakijiji huwa wanaziongelea sana. Ufisadi unaweza muweka mtu yeyote asiye muadilifu kapuni bila kujali kiwango cha usomi wala nafasi yake katika jamii.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…