Chazeti ndio kitu gani? Kama unamaanisha ni gazeti labda tukuulize gazeti la Mwananchi ambalo ndio linaongoza kwa mauzo na kusomwa mtaani ni lini limeuzwa kwa huyo Mzee wa Monduli?
Au ndio inabidi nikubaliane na takwimu zilizotolewa jana kwamba Dar inaongoza kwa wagonjwa wa akili? Kwa sababu this is not normal.
And why too much hate? Tafuta namna bora ya kupambana na ukali wa maisha, kumchukia mtu bila sababu hakukupunguzii ugumu wa maisha. Tulia uisome namba kimyakimya, ndio kwanza tupo kwenye zoezi la kuhakiki vyeti.