technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,694
- 58,737
Kwa taarifa yako tu baba yangu ni professor hapo kwenye chuo kimoja hapo nyumbani Tanzania........hv wew ukiambiwa uletu angalau ndugu zako 5 wanao fananafanana tu na prof. uchwara utaweza, acha kuaminishwa na kukaririshwa na masilahi ya watu, wanao endekeza siasa chakavu zafaida zao!
ccm ni chama kilicho kamilika kila idara wala hakihitaji kiki kutoka kwa mtu yeyote kwa sasa! nakushauri kuacha kuendekeza mawazo ya kizembe kama hayo kwa sasa, na hivyo basi tanzania hivi sasa, ccm imevizidi vyama vyote vya siasa katika kusimamia hoja za wananchi, hivyo nilazima wapinzani watafute hoja mpya za kuwasaidia watanzania na wala sio kuendekeza siasa chakavu walizozoea kila uchao, hao wanaojita wanasiasa wa tz!, ushauri wa bure kwao ni kwamba wasikubali daima kuendelea kutolewa nje ya hoja za wananchi na ccm!Mbaya zaidi kila mtu ameshajua anatumika na ccm
Baada ya Li Pumba kujiuzulu Cuf walimteua Twaha Taslima kuziba nafasi yake kwa Muda, kwa hiyo walifanya Makosa kukaimisha nafasi ile wakati aliejiuzulu hawakufanya mkutano kuridhia??Umeandika mkutano mkuu ulikaa kupitisha kujiuzulu kwake, Nimekuambia hakuna mkutano mkuu uliokaa kujadili kujiuzulu kwa Prof Lipumba... Acha kutunywesha chai
Kwa hiyo tuseme wakati anasubiri kujibiwa alikuwa bado anaenda ofisini, na alipoona anachelewa kujibiwa ndio akatengua barua yake ya kujiuzulu?Aliandika barua ya kujiuzuru baada ya kuona ajibiwi maombi yake akaandika barua ya kutengua kujiuzuru lakini ki uhalisia baraza halikuwahi kukaa na kuridhia kujiuzuru kwake
Sasa huyu aliyeleta habari hapa au mpuuzi gazeti la mwananchi? Au haujaona source hapo?Wee jamaa mpuuzi sana, umeandika some very illogical stuff.
Lakini sishangai, sitegemei kingine kutoka kwa spin doctor wa chadema.
Mkuu jamaa hakusoma source ya habari. Hilo neno mpuuzi inaonekana alikuwa nalo kichwani linamsumbua, akaona mahali pa kulitupia ni hapo!Sasa huyu aliyeleta habari hapa au mpuuzi gazeti la mwananchi? Au haujaona source hapo?
Hizi stress zote za nini? Tulia uisome namba kimyakimya, tunahakiki vyeti kwanza.
Wakati anasubiri kujibiwa alikuwa haendi ofisi ila nafasi yake ilikuwa wazi kwa mujibu wa katiba ya chama na alipotengua maamuzi yake ameludi kwenye nafasi yakeKwa hiyo tuseme wakati anasubiri kujibiwa alikuwa bado anaenda ofisini, na alipoona anachelewa kujibiwa ndio akatengua barua yake ya kujiuzulu?
Kwa hesabu hiyo (hapo kwenye Bold) bado hilo neno kwenye italic linatakiwa kuwepo!?utabiri wangu Ukawa Watashindwa vibaya mno....ccm watamunuwa diwani mmoja tu toka chadema au kafu, hapo biashara itakuwa imeisha.
Mkuu twende taratibu, ukishajiuzulu hiyo nafasi sio yako tena, hata kama iko wazi. Kwa hiyo sikubaliani na wewe kusema nafasi yake ilikuwa wazi. Kumbuka kuwa aliteuliwa mtu wa kukaimu hiyo nafasi mpaka uchaguzi wa mwenyekiti mwingine ufanyike. Halafu ebu tunaposema kwa mujibu wa katiba, tuandike basi hicho kifungu cha katiba kinachoruhusu mweyekiti aliyejiuzulu kutengua uamuzi wake wa kujiuzulu, baada ya kuwa alishautekeleza huo uamuzi wake wa kujiuzulu kabla hata ya kujibiwa barua yake ya kujiuzulu.Wakati anasubiri kujibiwa alikuwa haendi ofisi ila nafasi yake ilikuwa wazi kwa mujibu wa katiba ya chama na alipotengua maamuzi yake ameludi kwenye nafasi yake
kama hazikukalika ilikuwaje akaacha kuja ofisini hasa wakati wa uchaguzi. hivi umemuweka mlinzi akulindie nyumba yako akuambie hataki kazi yako na kweli hajatokea kazini miezi 10, kisha inafika siku anarudi anasema anarudi kwa lazima kuendelea na kazi yake maana hukumuandikia barua ya kuacha kazi!!! Hapo kweli una mlinzi wa kumuachia nyumba?Taratibu za kujiuzulu hazikukamilika
Acha kuepelekwa kwa hisia, mikataba ina terms na condolitionskama hazikukalika ilikuwaje akaacha kuja ofisini hasa wakati wa uchaguzi. hivi umemuweka mlinzi akulindie nyumba yako akuambie hataki kazi yako na kweli hajatokea kazini miezi 10, kisha inafika siku anarudi anasema anarudi kwa lazima kuendelea na kazi yake maana hukumuandikia barua ya kuacha kazi!!! Hapo kweli una mlinzi wa kumuachia nyumba?
Mpuuzi sababu ametumia chazeti la mzee wa monduli kama reliable source, hamna kitu hapo.Sasa huyu aliyeleta habari hapa au mpuuzi gazeti la mwananchi? Au haujaona source hapo?
Hizi stress zote za nini? Tulia uisome namba kimyakimya, tunahakiki vyeti kwanza.
No NO NO NO NO NO NO to this former professor who changed his academic standards from Professor to "propesa"Kama watu walimuunga lowasa Pamoja na matusi yote hayo na wengne kula yamini ya kugawa TIGO, kuna kosa gani mtu kama lipumba aliyesimamia msimamo wake ,na maneno yake kumuungwa mkono
Unapotosha, kama ulichokiandika Lipumba asingejiuzulu aka kumwaga manyanga, bali angebaki kuzuia huo mkono haramu. Ukweli ni kwamba baada ya kazi mliyompa kushindwa kuifanikisha mnataka fedha zenu, na kwa kuwa hana, mnataka awalipe kupitia kujaribu kuivuruga CUF mkisaidiwa na Mutungi pamoja na polisi waliosimamia zoezi la kuvunja milango ya ofisi za CUF Buguruni, na jana mmemruhusu kufanya mkutano wakati wengine mmewaambia hadi 2020. Huo sasa ndio mkono haramu unaomng'ang'aniza Lipumba atumike kuvuruga CUF na upinzani kwa ujumla. Sina uhakika kama wapenda amani na siasa za kistaarabu watavumilia hiyo haramu mnayoifanya!ni muhimu kufahamu kuwa prof. lipumba m/kiti wa cuf, hagombani na madiwani wa cuf wala mtu yeyote yule ndani ya chama chake (cuf) bali anapambana na mkono haramu ulioingia kwenye chama chake ukitokea cdm!
Hazikukamilika kwa vipi tena wakati aliamua kuondoka na kuondoa kilicho chake ofisini? hiki unachoking'anga'ania wewe, Lipumba na Mutungi kingekuwa na maana kama profesa uchwara angeandika kusudio la kujiuzulu na kusubiri hicho unachokiita kuridhiwa, vinginevyo kitendo cha Lipumba kuamua kubwaga manyanga ilitosha kukamilisha taratibu kwa CUF kum-notify msajili na kuondoa jina lake katika orodha ya viongozi wa CUF kama msajili alivyoweka kwenye tovuti yao, baada ya kupeleka jina la Taslima. Swali la ufahamu kwako: Unafikiri msajili alifanya hayo mabadiliko ya uongozi wa CUF kwenye tovuti yake kwa sababu gani? Kwamba CUF walimwambia msajili kuwa Lipumba kaenda likizo au?Taratibu za kujiuzulu hazikukamilika
Acha kuepelekwa kwa hisia, mikataba ina terms na condolitions
Nakusamehe bure, usije niharibia honeymoomkuna terms na conditions zinazosema unaweza kuacha kazi tena kwa kutangaza hadharani kisha usitokee kweli ofisini wala kufanya jukumu lolote kazini na bado ukataka kurudi kwa lazima? Acha utoto ndugu.