Madiwani wa CUF BK Kuingia CDM

Madiwani wa CUF BK Kuingia CDM

Ametoa salamu za awali kisha atarudi kutangaza rasmi. Sasa anahutubia mwana Mama. Anawahamasisha wanawake wenziwe kuingia CDM.
 
Kumbe wa mama wa kihaya si kidogo yaani wamejaa uwanjani ni balaa.
 
Dah! Kumbe suala la Zitto na sahihi ilikuwa Mkakati wa CDM na Zitto alipewa jukumu kuongoza Kamati. Lwakatare anabainisha.........
 
Back
Top Bottom