Mtaalamu wa masuala ya miamba.
Kuna eneo nimepita porini karibu na msitu, nimeona mawe meupe mfano wa karatasi yapo kando ya kijimto kidogo na pia ndani ya maji ya hicho kimto kuna vichembe vidogo vinang'aa kweli. Je kuna uwezekano wa kuwepo mgodi hapo.
Mawazo yako muhimu natanguliza shukrani.