Nimeona wajasiriamali tukutane hapa kwa kubadirishana mawazo juu ya madini ya aina mbalimbali. Ni kwa kuuliza maswali, kurusha picha za madini, kupeana ushauri, kujenga mtandao, masoko, nk.
MASHINE YA UPEPO MGODINI KWAKO: Je, una mgodi au ninyi ni wachimbaji wadogo wadogo mko kwenye uzalishaji lakini mnakabiriwa na changamoto ya ukosefu wa mashine ya upepo kwa ajili ya kuchoronga miamba (compressor)? Tuwasiliane haraka ili tufanye kazi kwa pamoja. Piga tel:0779000097
Ahsante kiongozi nipo kwenye mchakato wa kupata kibari cha uchimbaji mdogo kuna eneo lina madini ya kutosha tunafikiria kutafuta wabia wakufanya nao kazi tatizo fedha.