Madini chuma

kiranja jona

Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
16
Reaction score
2
Niko mkoani Dodoma kama mjasiliamali wa kilimo ila kuna fursa mbili nimezichungulia.

1:Blue kopa: tani moja hap wanauza laki 1

2:Madini chuma(mawe haya yana naswa na sumaku)

Kwa yeyote ambay anafahamu soko la hizi bidhaa naomba mchango wako wa mawazo

Pia kma tunaweza fanya kaz pamoja unakaribisha
 

nipigie namba 0715381371 as tuchat whatsqp 0788381371
 
mkuu tunaweza fanya kazi pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…