Madili ya pesa nijuzeni arifu

Yusomwasha

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
2,092
838
Wakuu nipo likizo ya chuo nyumban moshi kama wiki 1 nahtaj kaz yoyote au dili lolote nipate pesa ilmrad iwe ya halali
 
Njoo holili huku uje ufanye kazi ya kumsaidia Fundi kujenga 8000 kwa siku.kazi yako ni kukoroga zege,na kumpelekea tofali
 
Back
Top Bottom