Jephta2003 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2008 Posts 6,734 Reaction score 6,637 Jan 2, 2025 #61 Yoda said: Kuna watu wanaofanya sex kwa madhumuni zaidi ya hayo mawili?? Click to expand... Ndio wafanyabiashara ya mwili
Yoda said: Kuna watu wanaofanya sex kwa madhumuni zaidi ya hayo mawili?? Click to expand... Ndio wafanyabiashara ya mwili
Akhi JF-Expert Member Joined Jul 12, 2021 Posts 5,564 Reaction score 9,589 Jan 2, 2025 #62 Mama Mwana said: mimi n mtu ambaye hua sijali kuhusu nani ni nani na anafanya nn, so as long as ameamua kutumia kiungo chake mwenyewe sion haja coz n mtu mzima anajua kibaya na kizur Click to expand... Subiri mwanao aje kua anakitembeza kitaa ndo utajua maana halisi ya hicho ulichokisema
Mama Mwana said: mimi n mtu ambaye hua sijali kuhusu nani ni nani na anafanya nn, so as long as ameamua kutumia kiungo chake mwenyewe sion haja coz n mtu mzima anajua kibaya na kizur Click to expand... Subiri mwanao aje kua anakitembeza kitaa ndo utajua maana halisi ya hicho ulichokisema
Mama Mwana JF-Expert Member Joined Jun 6, 2023 Posts 2,510 Reaction score 8,017 Jan 2, 2025 #63 Akhi said: Subiri mwanao aje kua anakitembeza kitaa ndo utajua maana halisi ya hicho ulichokisema Click to expand... jukumu langu ni kumfundisha namna ya kuishi na kubehave kuamua kua nani hizo sio shida zangu ni zake.
Akhi said: Subiri mwanao aje kua anakitembeza kitaa ndo utajua maana halisi ya hicho ulichokisema Click to expand... jukumu langu ni kumfundisha namna ya kuishi na kubehave kuamua kua nani hizo sio shida zangu ni zake.
Akhi JF-Expert Member Joined Jul 12, 2021 Posts 5,564 Reaction score 9,589 Jan 2, 2025 #64 Mama Mwana said: jukumu langu ni kumfundisha namna ya kuishi na kubehave kuamua kua nani hizo sio shida zangu ni zake. Click to expand... Mzazi wa hovyo
Mama Mwana said: jukumu langu ni kumfundisha namna ya kuishi na kubehave kuamua kua nani hizo sio shida zangu ni zake. Click to expand... Mzazi wa hovyo
Mama Mwana JF-Expert Member Joined Jun 6, 2023 Posts 2,510 Reaction score 8,017 Jan 3, 2025 #65 Akhi said: Mzazi wa hovyo Click to expand... usipende tufanane kila jambo lea mtoto wako vile unaona inafaa, niache ni wangu mimi sio wako ukiona nafaidi nenda leba kasukume wako umlee utakavyo mbwa ww.
Akhi said: Mzazi wa hovyo Click to expand... usipende tufanane kila jambo lea mtoto wako vile unaona inafaa, niache ni wangu mimi sio wako ukiona nafaidi nenda leba kasukume wako umlee utakavyo mbwa ww.
Iyerdoy JF-Expert Member Joined Nov 17, 2023 Posts 3,661 Reaction score 4,694 Jan 3, 2025 #66 Mama Mwana said: usipende tufanane kila jambo lea mtoto wako vile unaona inafaa, niache ni wangu mimi sio wako ukiona nafaidi nenda leba kasukume wako umlee utakavyo mbwa ww. Click to expand... Dah! Mama umekasirika tena? Bora tu ungekuwa umekerwa na mazungumzo kuliko kusema eti naye aende leba akasuk.............. 😎.
Mama Mwana said: usipende tufanane kila jambo lea mtoto wako vile unaona inafaa, niache ni wangu mimi sio wako ukiona nafaidi nenda leba kasukume wako umlee utakavyo mbwa ww. Click to expand... Dah! Mama umekasirika tena? Bora tu ungekuwa umekerwa na mazungumzo kuliko kusema eti naye aende leba akasuk.............. 😎.
Akhi JF-Expert Member Joined Jul 12, 2021 Posts 5,564 Reaction score 9,589 Jan 3, 2025 #67 Mama Mwana said: usipende tufanane kila jambo lea mtoto wako vile unaona inafaa, niache ni wangu mimi sio wako ukiona nafaidi nenda leba kasukume wako umlee utakavyo mbwa ww. Click to expand... Hhhh matusi ya nn mwanawa adamu ? Shindana kwa hoja M nabaki kua binadamu tu ata uniite nani hhhhhhh
Mama Mwana said: usipende tufanane kila jambo lea mtoto wako vile unaona inafaa, niache ni wangu mimi sio wako ukiona nafaidi nenda leba kasukume wako umlee utakavyo mbwa ww. Click to expand... Hhhh matusi ya nn mwanawa adamu ? Shindana kwa hoja M nabaki kua binadamu tu ata uniite nani hhhhhhh