Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 3,003
- 8,378
Macroride hazina effects kwa mjamzito dawa hizo zinainclude erythromycin, azithromycin na clarithromycin.Habari ya wakati huu.
Ni yapi madhara ya vidonge vya azythromycin kwa mjamzito mwenye typhoid na kwa mtoto aliyeko tumboni.?
Je, ni dawa ipi inafaa sana badala ya azythromycin.?
Dr. Ndiye aliye toa dozi hiyo
ShukraniDkt anajua kwamba ww ni mjamzito? Kama anajua basi tumia.
ShukranHiyo dawa sio kali, hata kumaliza ugonjwa haimalizi haraka. Itakuwa safe tu maana hata watoto naona wanapewa ya maji.
ShukranMacroride hazina effects kwa mjamzito dawa hizo zinainclude erythromycin, azithromycin na clarithromycin.
Hazina uwezo wa kupita across the placenta kua na amani bro
Cc Dr am 4 real PhD
ShukranHiyo dawa kuna watu wana shuhuda sio nzuri wakati wa ujauzito japo wengi wanadai ni safe
Nachojua anatakiwa atumie akiwa ameshiba
Azithromycin ni safe kwa mama mjamzito na mtoto tumboni.Macroride hazina effects kwa mjamzito dawa hizo zinainclude erythromycin, azithromycin na clarithromycin.
Hazina uwezo wa kupita across the placenta kua na amani bro
Cc Dr am 4 real PhD
Hiyo hela ya wiki hii niekee nimalizie,,Hapa nilikua na tonses zimenikamata balaa,
Yaan makohozi mazito kichwa kinauma mpaka na masikio , kwenye koo maumivu nisiweze kumeza kitu nimekunywa azithromycin hapa kidonge kimoja na Panadol advance now nipo vizuri ndani ya saa moja na nusu now tonses zimeachia
min -me , Monetary doctor , MENEMENE TEKERI NA PERESI guru dumu la pombe nawa achia hii wiki mpaka nimalize dozii Haina namna nilikaza sana ila ndio ivyo nimeanza dozii hapa..
View attachment 3453657
Mtungi unakunywa freshi, haziinteract๐๐๐Hapa nilikua na tonses zimenikamata balaa,
Yaan makohozi mazito kichwa kinauma mpaka na masikio , kwenye koo maumivu nisiweze kumeza kitu nimekunywa azithromycin hapa kidonge kimoja na Panadol advance now nipo vizuri ndani ya saa moja na nusu now tonses zimeachia
min -me , Monetary doctor , MENEMENE TEKERI NA PERESI guru dumu la pombe nawa achia hii wiki mpaka nimalize dozii Haina namna nilikaza sana ila ndio ivyo nimeanza dozii hapa..
View attachment 3453657
Ni kweli ila utazipa mzigo mkubwa kwa INIMtungi unakunywa freshi, haziinteract๐๐๐
ni jamii ya AZUMA?Hapa nilikua na tonses zimenikamata balaa,
Yaan makohozi mazito kichwa kinauma mpaka na masikio , kwenye koo maumivu nisiweze kumeza kitu nimekunywa azithromycin hapa kidonge kimoja na Panadol advance now nipo vizuri ndani ya saa moja na nusu now tonses zimeachia
min -me , Monetary doctor , MENEMENE TEKERI NA PERESI guru dumu la pombe nawa achia hii wiki mpaka nimalize dozii Haina namna nilikaza sana ila ndio ivyo nimeanza dozii hapa..
View attachment 3453657
Ndio mkuu, Azuma ni brand name , generic name ni azithromycin so Kuna brand za azithromycin zaid ya ishirinii na usheeni jamii ya AZUMA?
Pole bwasheeHapa nilikua na tonses zimenikamata balaa,
Yaan makohozi mazito kichwa kinauma mpaka na masikio , kwenye koo maumivu nisiweze kumeza kitu nimekunywa azithromycin hapa kidonge kimoja na Panadol advance now nipo vizuri ndani ya saa moja na nusu now tonses zimeachia
min -me , Monetary doctor , MENEMENE TEKERI NA PERESI guru dumu la pombe nawa achia hii wiki mpaka nimalize dozii Haina namna nilikaza sana ila ndio ivyo nimeanza dozii hapa..
View attachment 3453657
Na humu ma air conditioning AC hali inakua mbaya baridii mnoo.... Sijui kama ntapona upesi matonses maana humu Kuna baridii mnoo kama upo kwenye fridge.Pole bwashee
ShukranAzithromycin ni safe kwa mama mjamzito na mtoto tumboni.
Ceftriaxone mara nyingi hupendekezwa zaidi kama chaguo la kwanza, lakini Azithromycin hutumika ikiwa kuna sababu za kitabibu.
All in all , azithromycin ni safe kwa mjamzito.