Elimu siyo suala la kisiasa. Elimu ni muhimu katika kila jambo. Bila elimu sahihi huwezi kufanikisha lolote katika ngazi yako binafsi hadi ya kimataifa bila kujali ni jambo la kiuchumi, kisiasa, kijamii, tekinolojia, kimazingira, kiimani hata kisheria.
Sasa wewe unaweza kutoa jibu kwa swali lake? Unaweza kusema alitaka kusema nini kwa "what are effect of viagra to man!!"
Na sasa kwa mambo kama haya, anakuwa haeleweki na hivyo kuna uwezekano wa kukosa jibu sahihi ama kukosa jibu kabisa kitu ambacho kinarudisha nyumba kila hatua sahihi aliyostahili kuichukua juu ya jambo hili.
Ccm imeua taifa!.