Madhara ya mgogoro kati ya CCM na CHADEMA bunge la Afrika Mashariki ni yapi

kichakaa man

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
5,500
5,163
Naomba kujua madhara ya msuguano wa kupata wawakilishi wa ubunge kutoka Tanzania hasa baada ya Jana kutokea sintofahamu kule bungeni kwa majina ya Wenje na Masha kukataliwa kwa kigezo cha kuwa na gender balance
Wataalamu Nipe ufafanuzi wenu ni nin madhara yake
 
FAIDA
1. Jamii itatambua nguvu ya bunge na mamlaka yake
2. Demokrasia katika vyama vya upinzani itaongezeka - hakutakuwa na ultimatam ya mtu/kiongozi au watu flan kupendekeza watu wao.
3. kutakuwa na heshoma kwa wabunge wa upinzani dhidi ya wale wa chama tawala
4. Ni mwanzo wa vuguvugu la kimapinduzi kwa baadhi ya vyama vya siasa tz
5. Bunge la EALA litakuwa na wabunge walipitishwa kwa nguvu ya wengi
6. itajulikana bayana kwamba bunge haliwezi ingiliwa na mahakama katika maamuzi yake
7. Michakato ya kuwapata wabunge wa bunge la africa mashariki itakuwa ikianza mapema zaidi na watu kujiandaa
8. itaamsha changamoto kwa nchi wanajumuia kuhusu upatikanaji wa wabunge wa bunge la africa mashariki
9. CCM itazidi kupata sifa na umaarufu nje ya mipaka ya tz kwa yaliyotokea bungeni na kwa utaratibu wao wanaotumia
HASARA
1. kutakuwa na kushuka kwa ushawishi wa kisiasa na kitaaluma kwa baadhi wa wabunge wa chadema
2. nimechoka kuandika
 
Naomba kujua madhara ya msuguano wa kupata wawakilishi wa ubunge kutoka Tanzania hasa baada ya Jana kutokea sintofahamu kule bungeni kwa majina ya wenje na Masha kukataliwa kwa kigezo cha kuwa na gender balance
Wataalamu Nipe ufafanuzi wenu ni nin madhara yake
MADHARA YAKE NI CHADEMA
1.KUPATA AIBU BAADA YA KUSHINDWA KULILAZIMISHA BUNGE KUWAKUBALI WAPENDEKEZWA(SIYO WAGOMBEA) WAO.
2. CHADEMA KUJIFUNZA KUZINGATIA KANUNI ZA UCHAGUZI HUSUSANI UWIANO WA JINSIA.
3. UBINAFSI WA VIONGOZI WA CHADEMA KUKOMESHWA
 
Naomba kujua madhara ya msuguano wa kupata wawakilishi wa ubunge kutoka Tanzania hasa baada ya Jana kutokea sintofahamu kule bungeni kwa majina ya Wenje na Masha kukataliwa kwa kigezo cha kuwa na gender balance
Wataalamu Nipe ufafanuzi wenu ni nin madhara yake
Nani alikuambia kama yaliyotokea yalikuwa sababu ya jinsia?
 
Hasara kubwa ni ccm kumbeba lipumba kumpitisha mamluki aliyefukuzwa uanachama Zanzibar
Kubariki luzuku ya chama kutumiwa na mamluki wa lipumba
Kubariki ushabiki kwenye mambo ya msingi yanayoihusu EALA
FAIDA
CDM KUJITAMBULISHA KIMSIMAMO KWA YMMA
WABUNGE KUHESHIMIKA KWA UMMA
WATU KUTAMBUA NANI NI BORA KATI YA CCM NA CDM KATIKA KUPIGANIA MAMBO YA MSINGI EALA
 
FAIDA
1. Jamii itatambua nguvu ya bunge na mamlaka yake
2. Demokrasia katika vyama vya upinzani itaongezeka - hakutakuwa na ultimatam ya mtu/kiongozi au watu flan kupendekeza watu wao.
3. kutakuwa na heshoma kwa wabunge wa upinzani dhidi ya wale wa chama tawala
4. Ni mwanzo wa vuguvugu la kimapinduzi kwa baadhi ya vyama vya siasa tz
5. Bunge la EALA litakuwa na wabunge walipitishwa kwa nguvu ya wengi
6. itajulikana bayana kwamba bunge haliwezi ingiliwa na mahakama katika maamuzi yake
7. Michakato ya kuwapata wabunge wa bunge la africa mashariki itakuwa ikianza mapema zaidi na watu kujiandaa
8. itaamsha changamoto kwa nchi wanajumuia kuhusu upatikanaji wa wabunge wa bunge la africa mashariki
9. CCM itazidi kupata sifa na umaarufu nje ya mipaka ya tz kwa yaliyotokea bungeni na kwa utaratibu wao wanaotumia
HASARA
1. kutakuwa na kushuka kwa ushawishi wa kisiasa na kitaaluma kwa baadhi wa wabunge wa chadema
2. nimechoka kuandika
Bangi mbaya...naanza kuamini.
 
Inaonekana Hawataenda kama team.
Kuna pande kama nne zisizohusiana kabisa labda watuambie wanasiasa hawana uadui wa kudumu kama wanavosema siku wanapopatana.

Kuna team(CCM),Team(CHADEMA),Team(CUF maalim) na Team CUF(Lipumba). Hawa watu kwa jinsi wanavyojiweka hawana uhusiano hata kidogo. Inatakiwa wakichaguliwa wakalishe waambiwe nini cha kufanya sijui ni taasisi gani itawaunganisha. Maana tunapotoka tanzania lazima tuwe kitu kimoja vinginevyo huko tutaenda kufitiniana na waathirika wakuu tutakuwa sisi walala hoi huku.
 
Back
Top Bottom