Hahahaha,kaaazi kweli kweli.
Mie huwa naona sawa na kiwembe tu,maana vyote vinanitoa mapele balaa.
Suala la madhara linaweza kuwepo,maana ukitaka kujua angalia jinsi kwenye ukiichoma moto inavyojisokota,halafu angalia wakati wa kuwekwa ile foam ya Powder muda mfupi nywele inakuwa haina jipya kama jivu vile.
Ila lazima watu waje na facts za kitabibu sio hizi zetu za kubahatisha