K kunyala Member Joined Apr 11, 2013 Posts 76 Reaction score 18 Nov 5, 2013 #1 kwa wataalamu au yeyote mwenye uelewa juu ya madhara ya kula nyama ya kuku wa kisasa Naomba kujua kipi ni kibaya zaidi.Nyama.Ngozi ya juu.Mifupa au Nyama za ndani.(figo.maini na firigisi.)
kwa wataalamu au yeyote mwenye uelewa juu ya madhara ya kula nyama ya kuku wa kisasa Naomba kujua kipi ni kibaya zaidi.Nyama.Ngozi ya juu.Mifupa au Nyama za ndani.(figo.maini na firigisi.)
Elungata JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 40,343 Reaction score 33,503 Nov 5, 2013 #2 Hao kuku siku hizi wanawalisha ARV kuwanenepesha,bora kuendelea kula wa kienyeji.
M Mbangubangu Senior Member Joined May 6, 2013 Posts 188 Reaction score 70 Nov 7, 2013 #3 tatizo ni kuwapata wa kienyeji na mbaya zaidi kwenye mahotel na migahawa tunalishwa hao hao wa kisasa.
tatizo ni kuwapata wa kienyeji na mbaya zaidi kwenye mahotel na migahawa tunalishwa hao hao wa kisasa.