Madhara Makubwa ni kuadhirika kisaikolojia, ukiendelea na kujichua itakupelekea kutoona umuhimu wa Mwanamke katika maisha yako na hata kuwachukia kabisa, pia Mishipa ya Uume wako kulegea kama unapofanya uchuaji visivyo na kusababisha uume kuto erect inavyostahili.
Njia ya kuacha hii tabia, jaribu kujishughulisha na shughuli mbalimbali na epuka kuwa mpweke, pia jichanganye na wezio katika michezo na mwisho Mshirikishe Mungu kwani ndiye muweza ya yote.
Pole sana Ndugu.