Aliyekwambia wanajeshi wa leseni ya udereva nani? Wewe ndo unataka kuleta balaa kubwa. Hao matraffic watapata wapi hela ikiwa madereva wote wa mabasi wskiendesha wanajeshi? Traffic wote watakonda......

haya yot yanasababishwa na udhaifu wa serikali ya jk ndo imetufikisha hapa tulipo,na km ccm itaendelea kubaki madarakan jiandae kisaikolojia kuckia mengi zaid ya hayo
Sasa nananza kujua kwanini Ugaidi ulizaliwa na unaendelea kushamiri,yaani badala ya kutafuta suluhisho kwa madai ya msingi ya madereva tunaangalia namna ya kuwaweka pembeni,sasa wataishije na familia zao? wao pia ni binadamu kama wewe na mimi!
Mi nadhani sio madereva tu wanaotakiwa kurudi kusoma,nadhani wapo wakuu kibao wa nyanja mbal mbal serekalini namna wanavyoendesha mambo ndan ya taifa hil wanahitajika pia kurud kusoma.
Labda wewe ndiye unayetupa shida, Mtoa mada amechokoza mjadala, tatizo liko wapi? wewe toa alternative inayofaa. Kizazi hiki ni wavivu wa kufikirii.......bahati mbaya wewe ni mmojawao, una bahati nzuri kina mshana jr na Konda wa bodaboda wamekupiga like.