Dar-Songea siku moja tu madereva wawili!!! Na keshoyake tena Songea-Dar tuamke wote tena? Tutapumzika lini sasa? Huoni kama namna hiyo ndo hatutapata muda wa kupumzika (na familia zetu pia) na tutasababisha ajali nyingi kwa kufikiria familia zetu badala ya kuconcetrate na kazi! Taratibu zetu: siku moja barabarani, siku moja off.