JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,795
- 9,153
Madereva wengi wanaopita Morogoro road wameanza kupita barabara za pembeni za wapita njia hasa kuanzia TipTop na kulekea Ubungo katika kukwepa foleni kiasi cha kupelekea kubomoka kwa sehemu zilizokamilika tayari kutokana na uzito wa magari. Wahusika wanapaswa kuchukua hatua bila hivyo hali itakuwa mbaya zaidi na kuongeza gharama za ujenzi hasa kipindi hiki cha mvua!